Tuesday, October 8, 2013

TOP FIVE YA WAIGIZAJI WATANASHATI HOLLYWOOD

1.namba moja yangu ni CHRISS TUCKER.




2.anayeshika nafasi ya pili ni muigizaji kutoka uingereza IDRIS ELBA.

 
3. nafasi ya tatu anachukua BRAD PIT.

 
4. namba nne inamuendea Mr GEORGE CLOONEY.

 
5. na anayeshika nafasi ya tano ni baba WILL SMITH.

 
waigizaji hawa kwa kweli licha ya umri kuwatupa mkono kidogo lakini wanajua kujiweka kiutanashati, wanapangilia mavazi vizuri, na pia wanamiili inayoonyesha kwamba wanafanyaga mazoezi ya hapa na pale. muonekano kwa msanii ndio kitu cha kwanza kinachouza kazi zake, hivyo, ikiwa umeamua kua msanii hakikisha unakua makini sana na jinsi unavyoonekana, mavazi, ngozi, size ya mwili, nywele na tabia pia.

No comments: