Saturday, October 19, 2013

NIWAPE STORY.

Eti yule muigizaji nguli wa Nigeria Jim Iyke si juzi kati aliamua kumpokea Yesu kua Bwana na mwokozi wake, sasa akawa kaombewa na TB Joshua, watu wanamnanga kwamba Mchungaji aliyemuombea si wa kweli, kijana wa watu imebidi atoe ya moyoni kupitia mtandao wa twila(twitter)



                                             TB Joshua akimuombea jim
 
Jim amewajibu watu wanaomsema mtumishi wa Mungu kwamba, yeye haangalii mwanadamu anamuangalia Mungu. mi naona inapofika wakati mtu anajitambua na kuamua kuacha yote na kumrudia Mungu wake apongezwe na si kusemwa, manake Enzi hizo Jim anakula bata na mademu walikua wanamsema, na sasa ameamua kumrudia Mungu bado wanamsema, kweli hakuna jema duniani.


No comments: