JESSIKA ALBA
Mwanamke hata anapokua na cheo, umaarufu au utajiri, linapokuja swala la kua mama huwa linapewaa kipaumbele kuliko kitu chochote, Malezi hayana fashion wala usuper star, upendo tulionao wanawake kwa watoto wetu haulinganishwi na chochote. Hizi picha hapo juu ni za muigizaji maarufu duniani Jessica Alba akiwa matembezini na wanawe angeweza kuajiri wafanyakazi hata kumi kwa ajili ya kuwatembeza wanawe, lakini kwasaababu ya upendo wa mama kwa wanawe anawatembeza mwenyewe na koba kalibeba mwenyewe.
No comments:
Post a Comment