PATIENCE OZOKWOR
Patience ameshacheza movie zaidi ya 200 mpaka sasa, yani huyu mama anajua kweli kuuvaa uhusika, akicheza kama mama mkwe mbona mkwe utaipata, akicheza kama mke na mume wake ni mpole mbona huyo mume ataipata, yani kwa kifupi huyu mama hanogi kucheza kama mama mwenye adabu, huwa anacheza kama mwanamke mkatili tu, na mpaka watu huwa wanahisi kwamba katika maisha yake ya kawaida ni mkatili hivyo hivyo.
picha hapo chini ni Patience akiwa na binti yake ambae ameolewa hivi karibuni.
huyo ndie mwanamama namba moja Africa kwa ugizaji, yani sidhani kama kuna mmama kama huyu anayejua kuigiza kiasi hiki hapa Africa. na ni mama wa watoto wa nne, ambapo watatu ndo wake kabisa na mmoja ni wa ku adopt. mume wake alifariki miaka michache iliyopita.
No comments:
Post a Comment