JANEFER HUDSON KWENYE COVER LA MOVIE
ALICIA KEYS kwenye premiere ya hii movie
JANEFER HUDSON
Hawa wadada wote ni wanamziki wanaotikisa dunia ila naona pia wanajitahidi kuchanga fani, kwenye hii movie Janefer Hudson amecheza kama mama mkatili kwa motto wake na pia ni mama anayetumia madawa ya kulevya, ndo maana picha ya kwenye cover anaonekana kachora tattoo nyingi mwilini.
Kwa wasiojua au wamesahau niwakumbushe tu kwamba huyu Jordin Spark ni girlfriend wa mwanamziki Jason Deruro na Alicia Keys ni mke wa producer wa mziki Swiz Bitz.
No comments:
Post a Comment