Nadhani wale mnaopenda movie za ki Nigeria mtakua mnamfahamu Tchidi Chikere, ni muigizaji wa siku nyingi pia ameshaproduce movie nyingi sana, basi Tchidi alikua mume wa muigizaji mwenzie wa kike Sophia ambaye walizaa nae watoto 3. Habari zilizopo ni kwamba wawili hao wameachana hivi karibuni, na inasemekana pia Tchidi ameanzisha mahusiano na muigizaji mwenzie tena anayeitwa Nuella na wameanza kuishi pamoja kwani Nuela anaujauzito wa Tchidi, Mtalaka wa Tchidi Sophia nae ameshaanzisha mahusiano na mfanya biashara mmoja wa nchini humo.
TCHIDI CHIKERE
huyu ndie aliyekua mke wa Tchidi anaitwa SOPHIA CHIKERE
Na huyu ndie girl friend wa Tchidi wa sasa anaitwa NUELA
No comments:
Post a Comment