Wednesday, October 9, 2013

DIAMOND PLATNUMZ & WEMA DIAMOND SEPETU

hii picha imepigwa juzi juzi tu ndo huko Malaysia, usipokua makini unaweza kujikuta unaachana na umpendae kwasababu ya maneno ya walimwengu. ila kama mnapendana hata iweje mtajikuta tu mnakua pamoja, mafano ni hawa hapa, mapenzi yao yaliingiliwa na magazeti,marafiki na ndugu pia, wakajikuta wanaachana. sijui kama ni kweli wamerudiana au la,

No comments: