Sunday, October 20, 2013

STAR WA WEEK BOLLYWOOD ACTOR JOHN ABRAHAM

Huyu handsome alizaliwa dec 17 mwaka 1972 huko Mumbai India. Alianza kua model kabla ya kua muigizaji na pia ni movie producer.

                                                 
                                                           JOHN ABRAHAM
 
 
                                                            JOHN ABRAHAM
 

 
John hajaoa ila ana girlfriend anayeitwa Priya Runchal. na hapo chini kwenye picha ndie girlfriend wa Jonh
 
                                                      JOHN ABRAHAM & PRIYA RUNCHAL
 
 
                                         JOHN AKIWA NA FAMILIA YAKE
 
 
 Hapo chini ni picha ya cover la moja ya movie matata sana aliyoigiza John na mwanadada Priyanka Chopra inayoitwa KARAM. yani hii movie inaelezea mwanaume muuaji ambaye ameamua kuacha muuaji na kukaa na mpenzi wake, sasa ile mimafia yani mijambazi mikuu haitaki John aache kazi ya uuaji manake kazi alikua anaiweza kweli kweli, kwa hyo ilifanya kila jitahada ili john aendelee na kazi, sasa hizo jitahada ndo manogo yenyewe ya movie.

                                           JOHN ABRAHAM & PRIYANKA CHOPRA.
Huyo ndo muigizaji wa India JOHN ABRAHAM ambaye amecheza movie nyingi ikiwemo DHOOM, KARAM,KABUL EXPRESS, MAABUL, DOSTANA PAMOJA NA NO SMOKING.

No comments: