Bonge la movie kutoka Nigeria lililowashirikisha pia na wasanii wanje, movie inaitwa HALF OF A YELLOW SUN, inaelezea juu ya maisha ya familia nne Enzi za kugombania uhuru wa Nigeria, ndani ya movie GENEVIEVE NNAJI ndani. pia mmoja wa watakaoigiza movie hii ni PAUL HAMPSHIRE.
GENEVIEVE NNAJI
PAUL HAMPSHIRE
Hizo ni moja ya sura zitakazokuwepo kwenye hii movie ambayo producer wake ni BIYI BANDELE na movie hii ilitoka Sept hii.
No comments:
Post a Comment