Thursday, October 24, 2013

SHUH RUKH KHAN NA ABHISHEK IN THE SAME MOVIE.........

Movie jipya hilo litatoka mwakani, sasa hivi ndio wanaishoot huko Dubai, movie inaitwa HAPPY NEW YEAR, director wa movie ni Farah Khan, ndani ya movie utamkuta mtu mzima SHUH RUKH KHAN, ABHISHEK na mrembo aliyecheza kwenye fast n furious 5 na 6 DEEPIKA PADUKONE.


                                               JINA LA MOVIE
 
 
                                           ABHISHEK BATCHAN & SHUH RUKH KHAN
 
 
 
huyu mrembo hapo chini ndo wa kwenye fast n furios 5 na 6 anaitwa Deepika yupo na Shuhrukh khan
 
 
 hapa Shuh Rukh Khan yupo na Abhishek, na aliyeweka dole gumba ni director Farah Khan
 
wapenzi wa movie za kihindi hii ni moja ya movie itakayofanya vizuri sana mwakani japo inawakati mgumu sokoni kwani kutakua na movie kali zitakazotoka pamoja, movie kama DHOOM 3 na KRISH 3 zinatishia amani ya mauzo ya hii movie.

No comments: