Wednesday, October 30, 2013

ALBAM YA TANZANITE


huyu ni bibi GENEVIEVE NNAJI muigizaji bei mbaya Nigeria, hiyo pochi aliyoivaa ni CHANEL ya $4000 na hapo bidada ndo anatuonyesha.


Mwanadada juu ya gari ni muigizaji mwenye mvuto bongo IRINE UWOYA, hapo anaonyesha gari yake mpya aina ya RANGE ROVER .........
 
 
 aliyeachia pochi hapa chini ni muigizaji wa bongo movie JACKLINE WOLPER, yeye anaonyesha TATOO mpya ya hapo katikati ya mguu aliyoichora hivi karibuni.
 
 
Muigizaji wa bongo movie LULU yeye ameonyesha mtu mwenye thamani kuliko wote bibi yake mpenzi.

 
 
 Queen wa bongo movie WEMA SEPETU yeye anatuonyesha rafiki yake kipenzi ambaye ni muigizaji mwenzie KAJALA MASANJA.


Wapenzi wasioachana WEMA SEPETU  na DIAMOND wao wanatuonyesha madini ya njano waliyoyatandaza kwenye miili yao.
 
UNACHAKUTUONYESHA?

RAIS KIKWETE KWENYE MSIBA WA BABA WA MUIGIZAJI WEMA WEPETU






PICHA ZA KUAGWA KWA BABA WEMA SEPETU.







NEW MOVIE THOR THE DARK WORLD...

Kwa wapenzi wa movie za Hollywood wengi mtakua mnaifahamu movie hii ya THOR ambayo part one yake ilitoka mwaka 2011, sasa part two yake imetoka leo. movie hii imetengenezwa na studio za DESNEY chini ya director ALAN TYLOR, staring wa movie ni CHRIS HERMSWORTH akiwa sambamba na mrembo NATALIE PORTMAN.


                                                       CHRIS HERMSWORTH


                                                       NATALIE PORTMAN

Monday, October 28, 2013

MPYA YA HOLLYWOOD

Naskia yule muigizaji mwenye KIDOTI usoni EVA MENDES ameachana na boyfriend wake wa miaka 2 RYAN GOSLING, wote hawa ni waigizaji wakubwa Hollywood. kibaya zaidi naskia EVA MENDES alikua anamcheat RYAN na film maker GEORGE AUGUSTO.


                                                      huyu ndio muigizaji  EVA MENDES
        
 
 
 Hapa Eva akiwa na boyfriend wake RYAN GOSLING
sasa bwana, huyu Eva na kijana wa watu Ryan wanamiaka miwili toka uhusiano wao uanze, na walianzisha mahusiano wakiwa wana shoot movie pamoja hiyo movie inaitwa  THE PLACE BEYOND THE PINES. Ryan akaona kampata mwanamke wa kutulia nae, miaka miwili imepita na Ryan anataka kuwa na familia sasa, kimbembe ndo kikaja hapo, inasemekana Eva Mendes yeye huwa hataki kuzaa wala kuolewa yani ye anapenda maisha ya uboyfriend na u girlfriend tu, bila kusahau huyu mwanadada anamiaka 39 sasa, basi wakawa na vurugu za hapa na pale ndo Eva akaanza kumsaliti kijana wa watu.
 
 
                                            Na hapa Eva akiwa na film maker George augusto
Inasemekana kwamba huyu George na Eva waliwahi kuwa na uhusiano kipindi cha nyuma, uhusiano uliodumu kwa muda wa miaka kumi, kwa hyo naona Eva kaona bora arudi kwa yule wa zamani.


NINACHOSHANGAA NI KWAMBA, INAKUWAJE DADA WA MIAKA 39 BADO ANATAKA MAISHA YASIYO NAMUELEKEO, KWA KAWAIDA WANAWAKE WENGI TUNAPENDA KUA NA WATOTO HAPO BAADAE, LAKINI ZAIDI TUNAPENDA KUA NA MWANAUME AMBAYE ATAKUA BABA MZURI WA WATOTO WAKO, KWELI HELA INAHARIBU AKILI. tabia kama hii pia tumeiona kwa OPRA WINFREY ambaye hakupenda kuolewa wala kuzaa anaboyfriend waliyedumu nae kwa miaka 27, na GABRIELA UNION na kenyewe umri umekatupa mkono lakini hakataki kuzaa bado ,,





Sunday, October 27, 2013

PICHA ZAIDI ZA MSIBA WA BABA WA WEMA SEPETU


huyu ni msanii WEMA SEPETU akiwa katika hali ya majonzi ya kuondokewa na baba yake kipenzi.
 
 
 huyu ni mama yake na WEMA SEPETU
 
 kushoto ni muigizaji KAJALA MASANJA na kulia ni mtangazaji ZAMARADI MKETEMA wakimfariji rafiki yao Wema.
picha kwa hisani ya global publishers.

BREAKING NEWS..... BABA WA MUIGIZAJI WEMA SEPETU AMEFARIKI DUNIA.

Baba wa muigizaji wa kike number moja Tanzania WEMA SEPETU AMEFARIKI DUNIA.

 
 
 huyu ndie aliyekua baba mzazi wa Wema marehemu balozi ABRAHAM SEPETU.
 
hii picha ya chini ni marehemu mzee Sepetu akiwa na mkewe mama mzazi wa Wema Sepetu.
 
 
Tanzanitemovies blog inampa pole Wema na familia yake, na inawaombea kwa Mungu ili wapate nguvu katika kipindi hichi kigumu wanachopitia. nitaendelea kuwajulisha yatakayokua yanaendelea katika msiba huu wa mpendwa baba yetu mzee Sepetu. BWANA AMETOA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIBARIKIWE.  AMINA
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 

Saturday, October 26, 2013

PRODUCER NA ACTOR MKUBWA NIGERIA TCHIDI CHIKERE AMEMTALAKA MKE WAKE

Nadhani wale mnaopenda movie za ki Nigeria mtakua mnamfahamu Tchidi Chikere, ni muigizaji wa siku nyingi pia ameshaproduce movie nyingi sana, basi Tchidi alikua mume wa muigizaji mwenzie wa kike Sophia ambaye walizaa nae watoto 3. Habari zilizopo ni kwamba wawili hao wameachana hivi karibuni, na inasemekana pia Tchidi ameanzisha mahusiano na muigizaji mwenzie tena anayeitwa Nuella na wameanza kuishi pamoja kwani Nuela anaujauzito wa Tchidi, Mtalaka wa Tchidi Sophia nae ameshaanzisha mahusiano na mfanya biashara mmoja wa nchini humo.


                                            TCHIDI CHIKERE


                                           huyu ndie aliyekua mke wa Tchidi anaitwa SOPHIA CHIKERE
 
 
 Na huyu ndie girl friend wa Tchidi wa sasa anaitwa NUELA

Friday, October 25, 2013

KUTOKA INSTAGRAM

Tunaanza na msanii wa maigizo kutoka Ghana anaitwa IVON NELSON.



 

 
 
 
                                                          na huyu ni WEMA DIAMOND


Thursday, October 24, 2013

PENELOPE CRUZ, CAMERON DIAZ & BRAD PIT IN THE SAME MOVIE.....HII SII YA KUKOSA

Hii movie inaitwa THE COUNSELOR inatoka kesho huko Marekani, director wa hii movie ni RIDLEY SCOTT. ndani ya movie yupo shemeji yetu kwa Angelina Jolie .... BRAD PITT, pia yupo aliyekua wifi yetu kwa Justin Timberlake...... CAMERON DIAZ, lakini pia aliyekua wifi yetu kwa Tom Cruz......... PENELOPE CRUZ naye atakua kajaa tele.


                                                         COVER LA MOVIE
 
 
                                         CAMERON DIAZ & PENELOP CRUZ
 
 
                                                           BRAD PITT AKIWA MZIGONI

Basi wale wapenda movie najua hii mtakwenda kuitafuta manake ni movie nzuri hataree.

SHUH RUKH KHAN NA ABHISHEK IN THE SAME MOVIE.........

Movie jipya hilo litatoka mwakani, sasa hivi ndio wanaishoot huko Dubai, movie inaitwa HAPPY NEW YEAR, director wa movie ni Farah Khan, ndani ya movie utamkuta mtu mzima SHUH RUKH KHAN, ABHISHEK na mrembo aliyecheza kwenye fast n furious 5 na 6 DEEPIKA PADUKONE.


                                               JINA LA MOVIE
 
 
                                           ABHISHEK BATCHAN & SHUH RUKH KHAN
 
 
 
huyu mrembo hapo chini ndo wa kwenye fast n furios 5 na 6 anaitwa Deepika yupo na Shuhrukh khan
 
 
 hapa Shuh Rukh Khan yupo na Abhishek, na aliyeweka dole gumba ni director Farah Khan
 
wapenzi wa movie za kihindi hii ni moja ya movie itakayofanya vizuri sana mwakani japo inawakati mgumu sokoni kwani kutakua na movie kali zitakazotoka pamoja, movie kama DHOOM 3 na KRISH 3 zinatishia amani ya mauzo ya hii movie.

Tuesday, October 22, 2013

HALF OF A YELLOW SUN

Bonge la movie kutoka Nigeria lililowashirikisha pia na wasanii wanje, movie inaitwa HALF OF A YELLOW SUN, inaelezea juu ya maisha ya familia nne Enzi za kugombania uhuru wa Nigeria, ndani ya movie GENEVIEVE NNAJI ndani. pia mmoja wa watakaoigiza movie hii ni PAUL HAMPSHIRE.
                                                       GENEVIEVE NNAJI


                                                 PAUL HAMPSHIRE
 
Hizo ni moja ya sura zitakazokuwepo kwenye hii movie ambayo producer wake ni BIYI BANDELE na movie hii ilitoka Sept hii.

Sunday, October 20, 2013

STAR WA WEEK BOLLYWOOD ACTOR JOHN ABRAHAM

Huyu handsome alizaliwa dec 17 mwaka 1972 huko Mumbai India. Alianza kua model kabla ya kua muigizaji na pia ni movie producer.

                                                 
                                                           JOHN ABRAHAM
 
 
                                                            JOHN ABRAHAM
 

 
John hajaoa ila ana girlfriend anayeitwa Priya Runchal. na hapo chini kwenye picha ndie girlfriend wa Jonh
 
                                                      JOHN ABRAHAM & PRIYA RUNCHAL
 
 
                                         JOHN AKIWA NA FAMILIA YAKE
 
 
 Hapo chini ni picha ya cover la moja ya movie matata sana aliyoigiza John na mwanadada Priyanka Chopra inayoitwa KARAM. yani hii movie inaelezea mwanaume muuaji ambaye ameamua kuacha muuaji na kukaa na mpenzi wake, sasa ile mimafia yani mijambazi mikuu haitaki John aache kazi ya uuaji manake kazi alikua anaiweza kweli kweli, kwa hyo ilifanya kila jitahada ili john aendelee na kazi, sasa hizo jitahada ndo manogo yenyewe ya movie.

                                           JOHN ABRAHAM & PRIYANKA CHOPRA.
Huyo ndo muigizaji wa India JOHN ABRAHAM ambaye amecheza movie nyingi ikiwemo DHOOM, KARAM,KABUL EXPRESS, MAABUL, DOSTANA PAMOJA NA NO SMOKING.