Wapendwa wote tunajua kwa sasa hawa ni mahasimu, japo sijui chanzo cha ugomvi, sasa basi leo tuone mpambano kati ya JACKLINE WOLPER NA WEMA SEPETU. mpambano huu sio wa kiugizaji nooo, ni wa MUONEKANO, kuanzia SURA, UMBILE yani nani anashepu zaidi mwenzake, nani anasura nzuri zaidi ya mwenzake, nani anavutia tu kiujumla, wote ni warembo kazi kwako msomaji wangu. team Wema wakina dougie mpooo, na team Jackie je?
WEMA SEPETU HAPO CHINI
JACKLINE WOLPER
Hapo juu ni picha zao jinsi wanavyoonekana wakiwa na hawana nywele
WEMA SEPETU
JACKLINE WOLPER
WEMA SEPETU
JACKLINE WOLPER
WEMA SEPETU
JACKLINE WOLPER
Okay okay, wapenzi wasomaji wangu nawaaminia kwenye swala Zima la kuchagua nani zaidi,
nani kamfunika mwenzake kwa sura, nani kamfunika mwenzake kwa shape, nani AKITOKEA TU MBELE YA KADAMNASI LAZIMA MPAKA WATOTO WAINUKE KUMTAZAMA,
17 comments:
wema sepetu haina ubishi hiyo
wema sepetu
mtoto wa SEPETUNGA haina ubishi!!!
Wemasepetu daimaaaa hana mpinzani
MADAM WEMASEPETU
wema akeee chibu
WEMAAAAAA
Wolper stasubiri sana,chezea toto ya sepetu ww! Wema katisha
Sepetunga
hahahaaaa huyo jack picha ya wisho kavaa kobai za sheikh yahya loh motto wa seprtunga balaaa
hahhahaha ivi ili ni swali au utani jak atasubiri sana
Wema ndio kila kitu
Wemaaa
Muke halali ya Diamond ndo habar ya mujin,WEMA yupo juu huyu Jack akaoge maji ya mafuriko ya jangwani.mie ndukiiii
aaaaah! chezea nyota za libra ww mtoto wa sepetu aka madam wema aka lady boss aka mrs chibu ndo habari ya mjini kafunika bongo nzima akuna wakugusa moto wake miaka milioni.
king S.T
I really wish that Jacky Wolper
was from South Africa
I would marry
I just lovee dat gal bigtime
lots of kisses to you Babe
wema nampendaga tu sana ila kiukweli WOLPER ametisha....kwanza uzuri wa wolper n NATURAL tofauti na Wema ambaye n teamMKOROGO...she was cute akajiaribu mwangalie viguu vyake vilivyocnyaa kama vya kinyanya kwa mikorogo mikali....wema was cute zamani bt c sasa anatisha kiukweli mwambieni apunguze mikorogo nyie mlo tanzania...WOLPER OYEEEE
Post a Comment