Monday, April 14, 2014

DIDA WA EZDEN MFANO WA KUIGWA



Dida ndo jina lake, ni mtangazaji wa times radio wa kipindi cha mipasho najua mtashangaa kulikoni nimuweke yeye wakati hii blog inahusu mambo ya movies, Dida kabla ya yote yeye alikua ni muigizaji kwa wale mnaomkumbuka.

Dida bwana ninachompendea yeye hanaga muda na kuambatana na mashoga ni mara chache sana, mara nyingi utamuona anapest picha akiwa kazini, au kwenye biashara yake baada ya hapo ni picha akiwa na mumuewe Ezden

picha hapo juu ni ya Dida akiwa na mumewe siku ya harusi yao.











Hongera Dida, manake kuna wanawake wengine mpaka unaweza kusema hawana waume au kazi kwa jinsi wanavyoambatana na mashoga na kutwa kugombana na kusutana. naona best friend wako ni mumeo. IGENI MIFANO WADADA

No comments: