Monday, April 7, 2014

KAJALA, WOLPER,LULU, DIDA NA BATULI LEO WAMEAMKA NA HAYA




Lulu yeye anasema atamkumbuka daima dady yake. na amemuomba Mungu ampumzishe kwa amani Kanumba, maneno haya kaandika kwenye mtandao wake wa instagram leo ,



                           REST IN PEACE KANUMBA



Hatuwezi kusema mengi tutamkufuru Mungu ila tulipenda ungekuwepo mpaka leo Mungu kakupenda zaidi ni miaka miwili sasa tangu utangulie mbele za haki. MUNGU AILAZE ROHO YAKO MAHALI PEMA PEPONI AMEEN.


                                                   BATULI



Shujaa wetu, kipenzi chetu nimemiss tabasamu lako,sauti yako, ucheshi wako na kubwa kuliko yote ni upendo wako mkubwa.


temboni misa ya kumuombea kaka yetu STEVEN KANUMBA ntakukumbuka siku zote za maisha. pumzika kwa amani

HAYA NDO MANENO YA KUMKUMBUKA KANUMBA KUTOKA KWA WASANII WENZAKE WA MAIGIZO.
Na huyu kwenye picha kwa waliokua hawamjui ndio STEVEN KANUMBA, alikua ni muigizaji pekee wa kiume mwenye mafanikio, pekee aliyekua anajulikana zaidi nje ya nchi na pekee aliyekua na juhudi za kujipanua kisanii zaidi. kweli kizuri hakikai. PUMZIKA KWA AMANI KANUMBA

No comments: