Wednesday, April 9, 2014

IRINE UWOYA ANAHITAJI NINI ILI AWE KAMA ZAMANI?

Huyu hapa chini kwenye picha ni IRINE UWOYA, muigizaji wa Bongo movie ambaye miaka kama miwili iliyopita alikua ndo the Queen of Bongo movies, yani bila Uwoya mtu hataki kununua movie.picha ya happa chini ni sura ya uwoya kipindi ndo anaanza kuingia kwenye game, yani she was very very cute to be honest.
                                                      IRINE UWOYA


Hii picha ya chini ndo kipindi Irine yuko juu tayari,























Kwa maoni yako wewe, Irine bado yuko juu au kwisha habari yake, na unadhani ni nini kifanyike ili arudi kwenye chat, manake tuseme ukweli huyu binti kwanza ni MZURI, pili ni mdogo hajafika hata miaka 26 kama sikosei, na tatu anakipaji. kwanini hasikiki kama zamani, zamani hata Wema alikua hafurukuti hapa lakini sasa hivi kwanini hasikiki, mi ninavyoona msanii yeyote hasa kama umri unaruhusu unapoanza sanaa malengo ni kukua zaidi ili ujulikane duniani nini kifanyike ili Irine awe juu kama zamani.





2 comments:

Anonymous said...

She actually lost all her beauty. ...mwili wake hauvutii tena...hana shepu nzuri kama zaman...she needs a lot of workouts. ..

Anonymous said...

she's grown up nw!!haskiki wapi??kama ni kweny magezeti,cioni umuhmu wa yy kuandikwa kweny magazeti,bora awe hvyo hvyo,ustar upo palepale!!