tanzanitemovies blog is a blog that gives you the chance to know everything that happens in the movie industry. rahelimacdonald@gmail.com 0713-608524
Monday, April 7, 2014
KWA HILI KAJALA KAWAPIGA BAO WENGI
Kajala Masanja ni mschana mwenye mvuto halina ubishi, lakini bwana akiwaga amekata kipara huwa ndo mvuto wake unaongezeka, zamani tulimozea akiwa na kipara, yani alikua na mvuto sana, mi nampenda kweli akiwa hivi, kwanza anaonekana mdogo, pili anaonekana uzuri wake halisi, yani hapo no kubebwa na maweav au ma make up, watu wengi wanamshauri arudie style yake ya zamani na wengi wanasema akiwa na kipara anawapiga bao wenzake wote.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment