Sunday, April 6, 2014

MANGE KIMAMBI NA SINTAH BEEF REMIX LANUKIA.


                                             SINTAH

Ni hivi, Sintah ni muigizaji pia ni blogger, na Mange ni blogger, sasa jana Mange kwenye blog yake kaandika kwamba anaanza kuchokonelewa, kisa kikiwa ni comment zinazomuhusu yeye kutolewa kwenye blog ya Sintah, mpaka sasa Sintah hajajibu kitu, watu hawa walishagombanaga sana huko nyuma kuhusiana na haya haya mambo ya mamblog...  maoni yangu....MI NAWAPENDA SANA HAWA WATU WOTE WAWILI WAKO POA SANA NAWAOMBEA TU SIKU MOJA WAPATANE.

No comments: