Saturday, April 12, 2014

NEY WA MITEGO AKALIWA KOONI NA WADADA WA BONGO MOVIES KWA KUWAIMBA NI MACHANGU WAKATI YAKE HAYAIMBI


Huyo hapo juu ndo msanii wa Bongo fravour anayeitwa NEY WA MITEGO aliyewaimbia wasanii wa kike wote wa Bongo movies kwamba ni machangudoa, bwana Ney alitamba sana na hicho kibao chake, na kuna kipindi alihojiwa kwenye redio moja nakumbuka alikua anasema yuko tayari mpaka kuwataja machangu wa bongo movie, sasa kabla hajawataja kibao kimegeuka na kua hivi
  
                                            SIWEMA MCHUMBA WA NEY
Ney bwana kumbe yule mchumba ake nae ana skendo kama za wadada wa bongo movie aliowaimba eti inasemekana anasugar dady na Ney ni wapembeni, siri imefichuka na picha za ushahidi ambazo siwezi kuzirusha kwa heshima ya huyo baba anayesemekanani mume wa Siwema ila hizo picha zimesambaa kwenye mitandao ,

NEY NA SIWEMA WAKITAKA KUBUSIANA HAPO



HILI GARI HEBU LICHECK VIZURI
zx
Eti kunakipindi Ney alisema kamnunulia mchumba wake gari na kusambaza picha mitandaoni gari lenyewe ndo hili, eh kumbe gari demu kanunuliwa na sugar dady bwana, sasa Ney kwanini tu usingenyamaza, kwasasa hata Diamond ambaye ndo anauza kimziki hawezi kumnunulia LEXAS Wema ilikua haiingii akilini kama Bongo flavour inalipa kiasi hicho


                           NEY WA MITEGO

Mh jamani vijana embu mjingalie jamani, kitu kama si chako ni si chako tu hata ukikitangaz kama ni chako kwenye mitandao yakijamii bado moyoni utakua na huzuni kwani unajua kabisa wewe si mmiliki,


MABINTI WA BONGO MOVIES JE MNATAKA KUIFANYIA REMIX ILE NYIMBOYA NEY INAYOSEMA NYIE NI MACHANGU? NA MKIIFANYIA HIVI MTAONGEZA VIPANDE GANI HUMO NDANI? ? mh kuna mmoja kasema eti na siwema atajwe kwenye hyo remix.

No comments: