Wednesday, April 30, 2014

MAHOJIANO YA KAJALA KWENYE TAKE ONE

                                                    KAJALA MASANJA
KAJALA NA ZAMARADI
PAULA MTOTO WA KAJALA
Yani kwa yeyote aliyepata nafasi ya kusikiliza mahojiano ya Kajala na mwanae kwenye kipindi cha take one cha Zamaradi atakua kajisikia vibaya sana, kwa kweli Kajala kaniumiza sana moyo, huwa namjua ni mpole lakini sikujua pia kama mambo ya ugomvi yanamuumiza sana kiasi hiki jamani, Kajala amekataa kwamba hajamchukulia Wema bwana, hivi ni kitu gani kilichowagombanisha manake hakuna anayesema kati ya Wema wala Kajala, je? au ni kitu kikubwa kuliko kuchukuliana bwana, au pengine ni kidogo na cha kijinga ambacho hakina maana hata kuelezeka kwenye vyombo vya habari?   NAWAOMBEA TU WAPATANE JAMANI MANAKE NAWAPENDA WOTE.

1 comment:

Anonymous said...

Kajala hajaenda kufanya interview kutafuta peace na wema anafanya vile kutafuta peace na mashabk il asiendelee kutukanwa.So plz watz jarbun kuwa na fikra pana,co kla mnachokiona mbele yenu bac n YES.