Leo nakuletea wadada wawili ambao ni waigizaji lakini mmoja Hollywood na mwingine Bongowood, bwana pamoja na kwamba Hollywood wako juu lakini wadada wa bongo nao hawako nyuma, nataka mwenyewe uone jinsi swagger za Jokate na Megan Good zinavyofanana, Megan Good ni muigizaji wa Hollywood na moja ya movie yake mpya ni THINK LIKE A MAN,
HUYU HAPA CHINI NI OUR QUEEN JOJO JOKATE
PICHA YA CHINI MEGAN GOOD
JOKATE MWEGELO
MEGAN GOOD
JOKATE
MEGAN GOOD
JOKATE
MEGAN
JOKATE
MEGAN
JOKATE
MEGAN
JOKATE
MEGAN
Na hapo kushoto ni Jokate na kulia ni Megan, kuanzia ngozi, nywele, pamba, na mpaka mapozi wanafanana, yani Jojo swagger zake alitakiwa awe anabanana na akina Lupita manake anajijulia sana, yani ukimuangalia unasema kweli SHE IS A STAR. jamani kua STAR kunakwenda na mambo mengi sio makelele tu kwenye mitandao halafu kuvaa zero, mwili manyama uzembe, ukihojiwa na vyombo vya habari unaongea pumba, elimu kichwani hakuna, kila siku unaonekana mitaani umekakaa kwenye vijiwe bila sababu yoyote,
KUNA ANAYEBISHA KUHUSU JOKATE KWENDA SAMBAMBA NA MEGAN? TULETEE PICHA ZAKO.
No comments:
Post a Comment