Tuesday, April 15, 2014

TANGAZO

                                                  RACHEL KAYUNI



Huyo ni mimi yani mwenye hii blog,nazidi kuwashukuru wale wote mnaoniunga mkono kwa kasi ya ajabu Mungu awabariki, hii blog inahusu kila kitu kwenye ulimwengu wa maigizo na filamu, hata ikitokea mtu ambaye si mwigizaji ila aliwahi kucheza hata movie moja basi nae naweza muweka, pia kama kuna mtu au habari inayomuhusu mtu wa karibu wa muigizaji lets say habari inayomuhusu Diamond au Mange au Martin Kadinda ntaweka kwasababu watu hao wanaukaribu na msanii Fulani. KAMA WEWE NI MSANII MCHANGA UNGEPENDA WATU WAKUONE, WAJUE KUHUSU WEWE, NA MA DIRECTOR WA MOVIES WAKUONE NITUMIE PICHA ZAKO NTAKUWEKA, NA PIA KAMA UNA MOVIE YAKO UNATAKA NIICHAMBUE HUMU ILI WATU WAIONE NA KUJUA INAHUSU NINI PIA NITUMIE, PIA KAMA UNA TANGAZO LA CHOCHOTE KILE ISIWE SEMBE TU PIA NIPIGIE AU NITUMIE EMAL NTATANGAZA BIDHAA ZAKO. MAWASILIANO YANGU YAKO HAPO JUU YA BLOG.

No comments: