Sunday, April 20, 2014

SHAMSA FORD ALICHONACHO BONGO MOVIE WENGI NI NDOTO KUKIPATA

Shamsa Ford ni muigizaji wa Bongo movies mwenye utofauti mkubwa sana na wengine, kwanza anatabasamu ambalo Bongo movies nzima  wadada hakuna, wengi wazuri lakini kwa hili tabasamu la Shamsa wameachwa mbali hata Julia Robert hajamfikia, licha ya tabasamu pia sura yake nzuri na anarangi ya asili, yani mambo ya dancia cream hayajampitia karibu, HEBU TAZAMA HII PICHA YA CHINI UNIAMBIE KUHUSU HIYO SMILE.


Shamsa hanaga skendo kama anazo basi kazificha sana, yani humkuti akisemwa hovyo magazetini na ni mzuri lakini nafikiri ni mzuri anayejitambua ndo maana hatumsikii.
                                               SHAMSA FORD
Shamsa anayeboyf au babydady ambaye ndo huwa nae muda mwingi na hakuna sehemu utasikia kama kamsaliti au kachukuliwa na wazee wa mjini akamuacha babydady wake,
Shamsa kama anavyoonekana hapo juu na babyd wake ni mschana mwenye furaha mno na huyo mwanaume wake, wasanii wengi hawana furaha namna hii na wanaume zao, wengi ni ukiwaona leo kesho utasikia wanaanza kukashifiana yani tabu tupu


picha ya juu Shamsa akiwa na mimba, na hizi mbili akiwa ameshajifungua motto wake, kweli ukikubali kuwa na mpenzi ambaye umempenda kwa hali yoyote lazima uwe na furaha namna hii lakini hawa wapesa mjini utaonekana unatanua lakini moyoni hauna raha kabisa, kisa cha kujipa jakamoyo kisa ufurahishe watu mjini eti wakuone unabadili nguo na pochi kila siku wakati maisha yako yanaoza ndani manake moyo unasimanzi, Shamsa hongera sana mamaa, KUNA MWENYE TABASAMU KAMA LA SHAMSA NDANI YA BONGO MOVIES? KAMA YUPO BASI TUMA PICHA EMAIL HIYO HAPO JUU LAKINI NAAAAA SIDHANI KAMA YUPO. OKAYYY    BYEEEEEE

No comments: