Saturday, April 26, 2014

ME AND HER.

Mimi na mbwa wangu anayeitwa DIAMOND, ni jike hilo,  yani mbwa huyu jinsi akiniona anavyonipenda jamani, na wanadamu wangekua hawana mapenzi ya kinafki ingekua raha sana, mara nyingine mtu unasema ni bora niunde urafiki na mbwa wangu Diamond manake najua hata mwizi akija atanilinda kuliko na watu ambao ukigeuka wengine wanakuonea wivu, wengine kukusengenya tabu tupu. 

RACHEL KAYUNI



No comments: