IRINE UWOYA
Hii picha ya chini ndo kipindi Irine yuko juu tayari,
Kwa maoni yako wewe, Irine bado yuko juu au kwisha habari yake, na unadhani ni nini kifanyike ili arudi kwenye chat, manake tuseme ukweli huyu binti kwanza ni MZURI, pili ni mdogo hajafika hata miaka 26 kama sikosei, na tatu anakipaji. kwanini hasikiki kama zamani, zamani hata Wema alikua hafurukuti hapa lakini sasa hivi kwanini hasikiki, mi ninavyoona msanii yeyote hasa kama umri unaruhusu unapoanza sanaa malengo ni kukua zaidi ili ujulikane duniani nini kifanyike ili Irine awe juu kama zamani.
2 comments:
She actually lost all her beauty. ...mwili wake hauvutii tena...hana shepu nzuri kama zaman...she needs a lot of workouts. ..
she's grown up nw!!haskiki wapi??kama ni kweny magezeti,cioni umuhmu wa yy kuandikwa kweny magazeti,bora awe hvyo hvyo,ustar upo palepale!!
Post a Comment