Tuesday, April 8, 2014

NANI ZAIDI KATI YA JACKLINE WOLPER NA WEMA SEPETU

Wapendwa wote tunajua kwa sasa hawa ni mahasimu, japo sijui chanzo cha ugomvi, sasa basi leo tuone mpambano kati ya JACKLINE WOLPER NA WEMA SEPETU. mpambano huu sio wa kiugizaji nooo, ni wa MUONEKANO, kuanzia SURA, UMBILE yani nani anashepu zaidi mwenzake, nani anasura nzuri zaidi ya mwenzake, nani anavutia tu kiujumla, wote ni warembo kazi kwako msomaji wangu.         team Wema wakina dougie mpooo, na team Jackie je?


                              WEMA SEPETU HAPO CHINI



                                           JACKLINE WOLPER





Hapo juu ni picha zao jinsi wanavyoonekana wakiwa na hawana nywele


                      WEMA SEPETU



                                    JACKLINE WOLPER



                                                  WEMA SEPETU



                                             JACKLINE WOLPER



                                      WEMA SEPETU



                                          JACKLINE WOLPER



Okay okay, wapenzi wasomaji wangu nawaaminia kwenye swala Zima la kuchagua nani zaidi,
nani kamfunika mwenzake kwa sura, nani kamfunika mwenzake kwa shape, nani AKITOKEA TU MBELE YA KADAMNASI LAZIMA MPAKA WATOTO WAINUKE KUMTAZAMA,

17 comments:

Anonymous said...

wema sepetu haina ubishi hiyo

Anonymous said...

wema sepetu

Anonymous said...

mtoto wa SEPETUNGA haina ubishi!!!

Anonymous said...

Wemasepetu daimaaaa hana mpinzani

Anonymous said...

MADAM WEMASEPETU

Anonymous said...

wema akeee chibu

Anonymous said...

WEMAAAAAA

Anonymous said...

Wolper stasubiri sana,chezea toto ya sepetu ww! Wema katisha

Anonymous said...

Sepetunga

Anonymous said...

hahahaaaa huyo jack picha ya wisho kavaa kobai za sheikh yahya loh motto wa seprtunga balaaa

Anonymous said...

hahhahaha ivi ili ni swali au utani jak atasubiri sana

Anonymous said...

Wema ndio kila kitu

Anonymous said...

Wemaaa

Anonymous said...

Muke halali ya Diamond ndo habar ya mujin,WEMA yupo juu huyu Jack akaoge maji ya mafuriko ya jangwani.mie ndukiiii

Anonymous said...

aaaaah! chezea nyota za libra ww mtoto wa sepetu aka madam wema aka lady boss aka mrs chibu ndo habari ya mjini kafunika bongo nzima akuna wakugusa moto wake miaka milioni.

king S.T said...

king S.T



I really wish that Jacky Wolper
was from South Africa
I would marry
I just lovee dat gal bigtime
lots of kisses to you Babe

Unknown said...

wema nampendaga tu sana ila kiukweli WOLPER ametisha....kwanza uzuri wa wolper n NATURAL tofauti na Wema ambaye n teamMKOROGO...she was cute akajiaribu mwangalie viguu vyake vilivyocnyaa kama vya kinyanya kwa mikorogo mikali....wema was cute zamani bt c sasa anatisha kiukweli mwambieni apunguze mikorogo nyie mlo tanzania...WOLPER OYEEEE