Monday, April 28, 2014

SINTAH, MANGE KIMAMBI NA LINDA BEZUIDENHOUT

Tunaanza na Linda, nimemuweka humu kwasababu ni dada wa muigizaji Richard Bezuidenhout, Linda kama mnavyomuona, ni mama wa watoto wanne lakini ni mzuri kupita kiasi, yani ukiambiwa yeye amekamilika kila idara,SURA, MIGUU, SHAPE, RANGI YA MWILI, NYWELE, na nyongeza yake ni SMILE yake ya kukata na shoka.  Ni mwanamke mchapakazi sana na anaishi Marekani, kwa wanaopenda mambo ya mitindo basi huyu ni mfano wa kuigwa.
                                            LINDA BEZUIDENHOUT


Anaitwa Mange Kimambi, ni mama wa watoto watatu, mrembo, yupo makini na malengo yake, ni chanzo cha mastaa kadhaa wanaosumbua jiji, mmoja wa mastar hao ni WEMA SEPETU, yani huyu ndo aliyesababisha magazeti ya udaku yauze sana  kwasababu kwa kumtoa kwake Wema Sepetu na kumsimamia mpaka akawa miss Tanzania, kumemfanya Wema kua star anayeuza sana kwenye kila kitu hasa magazeti kwa hiyo chanzo cha yote ni Mange ashukuriwe kwa hilo, Mange ni chapakazi sana na anajua sana kutangaza biashara, yani kwenye marketing tu Nampa mia kwa mia, anaishi Marekani kwa sasa.
MANGE KIMAMBI

kabla hamjaanza vijembe, yes i know, should have worn a bra.... chuchu karibia kutoboa gauni....hhahhahahahaa


Na huyu hapa chini ni my girllll SINTAH, huyu ni muigizaji, ni muigizaji alipitia mikononi mwa waigizaji hasa yani ni zao la wale waigizaji wakongwe ambao wengi hawapo hapa duniani tena, kwa hyo Sintah akiamua kuigiza HAUZI SURA KWENYE CAMERA BALI ANAJUA NINI ANAFANYA MBELE YA CAMERA, Sintah ni mwanamke aliyemudu kubaki kwenye umaarufu mpaka sasa japo kazi iliyomfanya awe maarufu kaicha kwa sasa, muda mwingi hajaigiza lakini bado yuko midomoni mwa watu tofauti na wenzake wengi walioacha kuigiza wamesahaulika, ni mama wa motto mmoja na ni mama mzuri sana tofauti na wengi wanavyofikiria au tofauti na wengi wanavyomsoma kwenye mitandao, Sintah anajua madhara ya media kwa watoto ndo maana kamwe hapendi kumuweka mwanae kwenye media, ni kama wasanii wengi wa nje wamekua wakiwaprotect watoto wao na mambo ya media na wengine wamekua wakikataa hata watoto wao wasipigwe picha na vyombo vya habari, MADHARA YA MTOTO WA MTU MAARUFU KUONEKANA KWENYE VYOMBO VYA HABARI AU MITANDAO NI MAKUBWA KULIKO WATU MNAVYOFIKIRI, MFANO NI MTOTO WA MUIGIZAJI KAJALA ANAVYOANDAMWA KWA KOSA LISILOMUHUSU NA WATU BILA HURUMA WANAISHIA KUMTUKANA HADI MTOTO MDOGO, KWA SINTAH NAFIKIRI ALIONA MBALI LAKINI MITAANI MUDA MWINGI UTAMUONA NA MWANAE. pia Sintah ni blogger, na mfanyabiashara, ni mwanamke ambaye hana makuu kabisa ni mwepesi mno kumzoea mtu.
SINTAH








Nawapenda wote hao wanawake hapo juu, wote ni mfano wa kuigwa japo wanamapungufu yao lakini wote ni wachakarikaji hawajajibweteka hata kidogo,


               JE? WEWE WAMPENDA NANI KATI YA HAWA?

14 comments:

Anonymous said...

Mange Kimambi is the best. She is Educated and beautiful

Anonymous said...

Mange kimambi

Anonymous said...

Sinta na Linda looks georgous! Hawana makuu,hawana show off za kijinga

Anonymous said...

mange she is the best

Anonymous said...

MANGE SHE IS THE BEST OF ALL.NIMTUWAWATU NA ANAPENDA KUSADIA WENGINE SIO SELFISH.SO WANAOMSEMA MBAYA HAWAJAKAA NAE WAKAMUELEWA.MANGE FOREVER BEIB

Anonymous said...

Mangeeee

Anonymous said...

Angalizo, show off ni choice ya mtu kwhy isitumike kama kosa. Waangaliwe kwa mambo mengne. For me, Mange zaidi

Anonymous said...

Mange ndio super star wa ukweli.Mjasiriamali na anajielewa sio km ma super star ushuzi wa kibongo. Sinta ananunua ugomvi apate kick, hana lolote alijulikana coz ya umalaya. Huyo Linda alijulikana voz ya ugomvi alivyomundama Mange, watu wala hatumjui.

Anonymous said...

write as a professional what a boring little blog eeeewww

TANZANITE MOVIE said...

my dear hapo chini uliyeniambia ni write as a professional nashukuru kwa kunikosoa,

Sophy said...

Mbona umesema linda nimuigizaji? Alafu mbona unatoa habari za zamani?

TANZANITE MOVIE said...

mdau naona umepitia haraka haraka manake nimesema linda ni DADA WA MUIGIZAJI RICHARD,rudia tena kusoma utaona mpenzi, na pia nimewaweka kama wanawake wachakarikaji na nikauliza msomaji we unaona nani unamkubali zaidi, sasa unaposema habari ya zamani sijaelewa mdau naona labda wewe ndo hujajua post inahusu nini, ASANTE KWA KUVIEW BLOG YANGU MNANITIAA MOYO SANA

Anonymous said...

Mange

Anonymous said...

mange kimambi