Sunday, April 6, 2014

LULU NAE ATOA MPYA YA MWAKA









Eti Lulu nae anawaasa wenzake kwamba maisha ya kuhongwa si mazuri, ni kweli si mazuri, tena yamewafanya muaibike hadharani kwa kunyang'anywa vitu wanavyowahonga. lakini wewe motto wa miaka 19 ebu tukuulize, gari unalotembelea, nyumba unayoishi, mavazi, starehe, hivi vinatokana na uigizaji kweli? LULU PLIZ RUDI DARASANI NA UWAACHE WAKINA MONALISA WATOE USIA KAMA HUO.

3 comments:

Anonymous said...

LULU UENDESHULE ACHA KUUZA SURA SIKU HAZIGANDI.PIA TUNAKULIZA NAWEWE HIVYO VITU VYOTE WATOA WAPI KAMA GARI,NGUO ZAGARAMA KILASIKU UNABADILI NGUOMPYA VIATU N.K TUKUULIZE WEWE NDIO UNATAKIWA UPEWE USHAURI MTOTO USHAKUBUHU.

Anonymous said...

hahhahaha anampa nani ushauru huyu nae mwehu kweli ye hana kisomo hana kazi ya maana ela anatoa wapi kama sio kuhongwa

Unknown said...

kila kitu kitakuwa hadharani soon na tutajua hiyo nyumba ninani aliempangia,na gari pia anazobadilisha