Thursday, April 3, 2014

KUNUKA .......KWA JACKLINE WOLPER KWACHUKUA SURA MPYA.

Eti ile kashfa iliyoenea mjini kwamba Jackline ni mschana mrembo lakini ananuka kunako sasa leo imechukua sura mpya, kupitia kurasa ya mtu asiyefahamika huko instagram anayetumia jina la USIPOJIPANGANTAKUPANGA eti kumbe kisa cha Jackie KUNUKA kunako ni kwasababu alilogwa na rafiki yake.
                                                      JACKLINE WOLPER
ETI Jackie na huyo shoga yake walienda Arusha kuchuna mabuzi sasa mwenzie akapata mzungu akamuibia vidola kadhaa akampa Jackie amshikie sasa Jackie akaingia nazo chaka ndo huyo shosti akaona akamkomeshe Jackie ili kila bwana atakayempata amuache kwasababu ya kunuka. na nafikiri wengi mnajua Jackie huwa hakai muda mrefu na wapenzi wake.

HII PICHA ILIWEKWA HUKO INSTA NA CAPTION KWAMBA ETI HUYO DEMU HAPO CHINI YA MAPAJA ANAVUMILIA UVUNDO.

MJINI KUNA KAZI KWELI JAMANI, ACHENI MAUGOMVI, ACHENI MAISHA YA KIHASARA HASARA, RIZIKENI NA KIPATO MNACHOKIPATA KWENYE KAZI ZENU, HELA YA KUHONGWA HAINA HESHIMA NA HAINA MAENDELEO NDO PAMOJA NA KUHONGWA SANA MPAKA LEO HAKUNA MSANII WA KIKE WA MAIGIZO MWENYE MAENDELEO.

2 comments:

Anonymous said...

duuh...

Anonymous said...

Hii post ni ya siku nyingi,lakn today ndo mepita kwa hii blog... By just reading this post t clearly shows you are bias... N ts nat guwd for your blog... Dont write as if you. Tryna force us to believe this shit... No hard feeling just saying