1. RAY KIGOSI
Kiukweli Ray anastahili namba moja, na pia alivyopungua ndo kabisa imemfanya namba moja iwe yake kabisa, he is very handsome and no ndambi(kitambi).
2.RICHARD BEZUIDEHOUT.
Kijana huyu namba mbili yake kabisa, wote mnamjua Richard ni kijana mtanashati na hivi hana skendo basi ndo anazidi kua na mvuto.
3. HEMED SULEIMAN
Kijana huyu naye katulia ila huwa natamani apungue awe kama alivyokua t project fame, yani kipindi kile nilikua namfananisha na Usher Raymond, kwa hyo kijana pungua kidogo tu hapo mvuto uzidi na masifa ya kujisifia kwamba we ni handsome upunguze manake we kweli handsome sasa ukisifiwa ndo inanoga zaidi.
4. CHEK BUDY
Bwana huyu tena zile Enzi zake ndo alikua hatareeee, yani angeshika namba moja sasa hivi, ila bado anakimbiza na yeye ajiangalie tu kwenye swala la mazoezi kidogo,
5. JACOB STEVEN
Kamanda mwenyewe mzee wa kuuza sana, manake movie asipokuwepo huyu wengi hawanunui, huyu bwana mvuto anao, na pia unajua kuna watu wengine wanapendeza wakiwa na miili minene, si unajua kama vile wakina Rick Rosay, yani kama akipungua sawa yote heri lakini hivi hivi baba unakimbizaaaaaa.
NI HAYO TUU, KAMA KUNA MWENYE MAONI YA TOP 5 WAREMBO NDANI YA BONGO MOVIE NITUMIE. kuna mkaka mmoja hivi he is very handsome wa bongo movie yani nimemsahau anaitwa nani manake hajawa kwenye game muda mrefu huyo ningemkumbuka Ray angekua namba 2.
5 comments:
hapo hujatenda haki, yupo mtu anaitwa Mohamed Mkongi au Frank jina la sanaa, kuna mkaka anaitwa mtunis, kuna yule alofanana na kanumba anaitwa Galis, kuna Slim,kuna timo, Mlela, kwa hapo kwel hujachambua vzuri, Ray hamkuti Galis hata robo halafu mtunis wa pili, kwa wa kike, 1.Wema 2.Uwoya 3.Lulu 4.Jokate 5.Naj
Mama apo jipange. .jb ana u handsome up? ray kautoa wapi..shosti Anza upya
Hapana kwakweli na Slim Omary kiboko yao umemuacha wapi??huyo ray nae handsome??yote tisa jb ndo umebugi...panga upya tyuuu
1;slim 2;Galis 3;Frank 4:Mtunis 5;mlela
1:Wemasepetu 2:auntyezekiel 3:Lulumichael 4;Ireneuwoya 5;eshabuheti
Kwanza kwenye mahandsome ray hayumo.. kuna mkaka anafanana na kanumba yuko ka Somali hv huyo ndo no 1, 2. Frank 3.Mtunis 4.slim 5.chekibudi
Post a Comment