Sunday, April 6, 2014

BILA WEMA SEPETU HAKIUZIKI KITU





PICHA inayomuonesha mwigizaji Wema Sepetu na meneja wake, Martin Kadinda imezua utata kuwa huenda wawili hao wana zaidi ya umeneja.

Baada ya picha hiyo kutupiwa kwenye mtandao wa Instragram na watu kutilia mashaka busu hilo, paparazi wetu alimvutia waya Wema, alipopatikana alijibu:
“Martin ni meneja, baby wangu kila mmoja anamjua, ni Diamond.”




SASA NIMEJUA KWELI BILA WEMA HAKIUZIKI KITU. JUZI WEMA KATOKA KUFANYA FUJO KWENYE OFISI YA HILI GAZETI, KESHO YAKE WAMEMTOA TENA. KWA NINAVYOJUA MIMI INGEKUA MWINGINE NDO KAENDA KUFANYA FUJO YANI NDO WANGEACHA KUMUANDIKA KWA CHOCHOTE ILI KUMKOMESHA, LAKINI KWA WEMA BREAK, WAKIACHA KUMUANDIKA WATAKULA WAPI.

2 comments:

Anonymous said...

Shoga una point sana

Anonymous said...

Umeonaee yaani nikweli kabisa hayo magazeti ya GLP bila wema hakuna biashara hapo.mpaka wanaboa.napenda unavyoandika blog yako huna ushambenga uko cool kama mwenyewe ulivyo mrembo mtaratibu.Love Batuli.