Thursday, January 9, 2014

WEMA ANAKABIDHIWA MJENGO NA DIAMOND MAPESA






Hawa ni wale masuperstar machachari wanaoongoza kwa kuuza vichwa vya habari, inasemekana Diamond ambaye ni mwanamziki na muigizaji anatarajia kumnunulia WEMA SEPETU nyumba yenye thamani ya shilingi million 125. 

No comments: