tanzanitemovies blog is a blog that gives you the chance to know everything that happens in the movie industry.
rahelimacdonald@gmail.com
0713-608524
Wednesday, January 8, 2014
BONGE LA MOVIE
Hii movie inaitwa TWELVE YEARS OF SLAVE. ni movie inayoelezea mambo ya Enzi za utumwa. aliye direct movie hii ni BRAD PITT na staring wa movie ni mnaigeria CHIWETEL EJIOFOR ila na Brad Pitt nae kacheza licha ya kwamba ka direct pia.
No comments:
Post a Comment