Friday, January 24, 2014

MUIGIZAJI LUPITA NYONGO AWA DILI MAREKANI

Lupita Nyongo Enjoys The Knicks vs Philadelphia Game


Spike Lee and Lupita Nyongo courtside
Lupita Nyongo Knicks Game 3


Spike Lee and Lupita Nyongo courtside


Huyu ni muigizaji mwenye asili ya Kenya lakini hivi sasa ndie muigizaji anayefwatiliwa na kila paparazzi huko Marekani, anaitwa Lupita Nyongo, dada huyu amecheza kwenye movie mpya iliyotoka hivi majuzi inayoitwa 12 YEARS A SLAVE, yani toka kacheza movie hiyo Lupita kapata tuzo zaidi ya 20 ndani ya week chache zilizopita, lupita kawa dili kila anakokatisha mapaparazi wanamfwata, hizo picha zinamuonyesha akiwa yuko kwenye basket ball ila ndo kama hivyo tena camera zote kwake, wameacha kuwafwata wakina KRESTIN STERWAT sasa hivi ni yeye tu.

No comments: