WEMA AKIWA MWEUPE SANA KWA AJILI YA MKOROGO
WEMA AAKIWA NA RANGI YA NGOZI NZURI ILIYORUDI BAADA YA KUACHA MKOROGO
Baada ya kusakamwa sana na vyombo vya habari kwamba anajipaka mkorogo uliosababisha rangi ya ngozi yake kua kama ya mzungu sasa mlimbwete star wa movie Tanzania ameamua kurudi kwenye rangi ya ngozi yake ya awali, hivi sasa Wema anavutia kama alivyokua kipindi anashiriki mashindano ya urembo,
No comments:
Post a Comment