Monday, January 20, 2014

LEONARDO DICAPRIO AMTOLEA MACHO LUPITA NYONGO

Huyu binti ni muigizaji kutoka Kenya lakini anafanya vyema Hollywood, anaitwa Lupita Nyongo na movie ambayo imempandisha sana chati ni ile movie ya 12 YEARS AS SLAVE aliyocheza na CHIWETEL pamoja na BRAD PITT.


Leo wacha achachawe alipomuona Lupita kwenye red carpet, ilibidi amfwate na kumsalimia.



hapo Leo akamimina mabusu maana aliona mkono hautoshi.






KUTOKANA KENYA MPAKA HOLLYWOOD LUPITA NYONGO. BEAUTFULL DARK SKIN QUEEN. HAPA KWETU WAKO BUSY KUJICHUBUA TU NA SKENDO ZA KUHONGWA. KWELI WASCHANA WETU HAWAJIELEWI.

No comments: