MAMA WEMA
WEMA
DIAMOND
Naskia mama yake na muigizaji WEMA SEPETU kacharuka hataki kabisa kusikia mwanae yuko kwenye mahusiano na mwanamziki DIAMOND PLATNUMZ. yani hawa watu wawili wanapendana, na mashabiki wengi wanapenda kuwaona pamoja, ila sasa kimbembe kwa mama zao, mama wa Wema hamtaki Diamond na mama wa Diamond hamtaki Wema, bila kusahau kwamba hawa ndo vichwa kwenye sekta nzima ya burudani Tanzania.
1 comment:
mapenzi yana run dunia
Post a Comment