Monday, January 20, 2014

BEYONCE MUIGIZAJI WA MOVIE YA OBSSESD ATEMBELEA IKULU

Beyonce walking up to the White House with Blue Ivy
hapo juu kama unavyoona ni ikulu ya Marekani, Muigizaji/mwanamziki BEYONCE akiingia na mwanae Blue Ivy. Beyoncé alialikwa kwenda kumuimbia mke wa rais wa Marekani Barrack Obama katika siku yake ya kuzaliwa. yani ilikua bday ya mama Obama.


Beyonce posts photos from the White House
hapo juu Beyoncé akishangaa Chrissmass haijaisha mpaka leo kwa Obama,


Beyonce's outfit for Michelle Obama's 50th birthday
Hapo juu Beyoncé kashatokelezea tayari kabisa kwa kumuimbia Michelle Obama


Beyonce and President Obama's dog Sunny
Mbwa wa Obama nae akapata nafasi ya kushikwa na Beyoncé, yani mbwa anaraha huyo katembea karibu kila kona duniani.
Blue Ivy at the White House
motto wa Beyoncé nae hakua nyuma, akaanza kuchora chora chini ikabidi wamletee karatasi fasta ili asichafue karpet la ikulu.

No comments: