Friday, January 10, 2014

AUNT EZEKIEL ANASEMA AACHIKI NG'O



                                                                      AUNT EZEKIEL






http://api.ning.com/files/MN6ZNqVOIKOj4UGweglrZ7yo2eHgFV0ZU-eQnP5tErLW4PbZZ9Zb84QoA41aCDvL26jOJJb5G7i9cBqgodCdlcfPSY-h3SI8/AUNTNADEMONTE.jpg?width=650
                                                      AUNT EZEKIEL NA KA MUME KAKE.


Muigizaji mahili Aunt Ezekiel anasema haachiki kwa mume wake hata iweje, swali la kujiuliza, je kuna mtu yoyote aliyesema anataka aunt aachwe? Aunt aliulizwa juu ya kesi ya kuishi nchini Dubai bila kibali iliyokua inamkabili mume wake, badala ya kujibu alichoulizwa na kumaliza aliamua na kusema kua wabaya wake wanasubiri aachwe na aachiki ng,'o, 

No comments: