Friday, January 10, 2014

OMOTOLA WA NIGERIA NDANI YA CNN..........WAPI WEMA, WOLPER NA UWOYA?????



Huyu ni msanii wa maigizo nchini Nigeria anaitwa Omotola Jelade Ikinde, hizi picha zinamuonyesha akihojiwa kwenye station kubwa duniani ya CNN katika kipindi cha AFRICA VOICE,








































Siku moja tunatamani kuwaona warembo wetu wakina IRINE UWOYA, WEMA SEPETU NA JACKLINE WOLPER wakihojiwa sehemu kama hizi, wakivaa kiheshima kama hivi na wakiwa na msimamo na ndoa zao na maisha yao kama hivi, huyu Omotola, ni mama wa watoto wa nne, na ni mke wa mtu, pamoja na kua muigizaji anayecheza nafasi yoyote hata ya uchangudoa hajawahi kuivunjia heshima ndoa yake wala jamii inayomtazama, leo hii anatambulika Africa nzima na sasa anaanza kutambulika nje ya Africa, lini na sisi wadada wetu wa kwenye movie watakua hivi jamani, IGENI MIFANO, maisha ya kuhongwa na kudhalilishwa si maisha, fanyeni kazi zionekane halafu mle matunda ya kazi zenu.

No comments: