Sunday, January 12, 2014

RAY KIGOSI ATAOA LINI?


MPENZI WA ZAMANI WA MUIGIZAJI RAY AKIWA NA PETE YA NDOA INASEMEKNA KAOLEWA







 RAY AKIWA NA MPENZI WA SASA CHUCHU HANS.



Ray ni muigizaji mwenye mvuto na kazi zake zinapendwa na amepata mafanikio makubwa, kutokana na kashfamba limbali za kuchanganya mabinti wa bongo movie kimapenzi bila kuwaoa huku umri ukizidi kumtupa mkono, wengi wamekua wakijiuliza ni lini Ray ataoa na kuanzisha familia na binti mwenye sifa nzuri za kiafrika

No comments: