Sunday, January 12, 2014

MUIGIZAJI LULU HONGERA SANA

KEKI SPECIAL KUTOKA KWA LULU KWA AJILI YA MAMA KANUMBA





LULU AKIMKABIDHI MAMA KANUMBA KEKI





LULU AKIMLISHA KEKI MAMA KANUMBA



MAMA LULU AKILISHWA KEKI NA MAMA KANUMBA



LULU AKIWA NA MAMA YAKE MZAZI PAMOJA NA MAMA KANUMBA



Lulu ni muigizaji mdogo aliyewahi kupatwa na matatizo makubwa kuliko umri wake wa miaka 18. Lulu au Elizabeth Michael jina lake halisi, aliwahi kua na mahusiano ya kimapenzi na marehemu Steven Kanumba ambaye pia alikua muigizaji, kwa bahati mbaya kanumba alifariki duniani na mtuhumiwa namba moja wa mauaji yake alikua ni lulu, sasa Lulu yuko uraiani huku kesi ikiendelea, toka Lulu ametoka gerezani alikokua amekaa kwa muda wa mwaka mmoja, amekua nau karibu wa hali ya juu na mama wa marehemu Kanumba, yani Lulu amekua faraja kubwa kwa mama huyo, mara nyingi tumeshuhudia Lulu akiwa na mama Kanumba maeneo mbalimbali wakifurahi pamoja, jambo ambalo halikutegemewa na wengi, wengi waliamini mama Kanumba angekua nak inyongo na Lulu, na wengine waliamini Lulu hatamjali mama huyo, kwa mama Kanumba imekua tofauti kwani kampokea lulu kwa mikono miwili, na kwa lulu ni kama kajipatia mama mwingine wa pili kwani hakuna anachofanyahi vi sasa bila kumshirikisha mama Kanumba na mama yake mzazi, na hizi picha zinamuonyesha Lulu na mama yake mzazi walipokwenda kumsuprise mama Kanumba kwa keki sikuyakuz a liwa kwake. LULU UNASTAHILI HONGERA KWA HESHIMA, UNYENYEKEVU NA USHIRIKIANO UNAOUONYESHA KWA MAMA KANUMBA.









No comments: