
hayawi hayawi sasa yamekua, naskia muigizaji mdogo mwenye mvuto na mwenye mambo ya kikubwa kupita umri wake Lulu au Elizabeth Michael amepata mchumba, haya nimeyasoma sehemu moja hivi ya uhakika, inasemekana kwamba mchumba huyo wa Lulu anaitwa GR ni mmiliki wa kampuni moja ya mambo ya filamu na ni mfanya biashara mkubwa, na inasemekana huyo ndo anayemfanya Lulu kupendeza hivi na pia ndie aliyempangishia Lulu nyumba anayoishi huko Tegeta pia na magari anayoendesha Lulu jamaa ndo muhusika wa hayo magari, mama mkwe wa zamani wa Lulu mama Kanumba naskia nayeye kampokea kwa mikono miwili huyo jamaa na anawa wish weli weli. NI HAYO TU.
No comments:
Post a Comment