Huyu alikua rafiki wa karibu sana wa muigizaji WEMA SEPETU, mwanadada huyu anaitwa Pennina, sasa inasemekana kwamba Penny alimuibia Wema mpenzi wake ambae ni muigizaji na mwanamziki Diamond, sasa basi, baada ya Penny kuiba bwana wa best friend wake hivi sasa huyo bwana karudi kwa Wema, naskia siku ya mwaka mpya wapambe wa Wema wakampelekea Penny zawadi, zawadi zenyewe ni keki yenye maneno yanayomuonya Penny asirudie kuwaibia rafiki na dada zake wanaume,
WEMA SEPETU
WEMA SEPETU
WEMA SEPETU AKIWA NA DIAMOND inasemekana sasa wamerudiana
No comments:
Post a Comment