Wednesday, January 29, 2014

GENEVIEVE NNAJI, INI EDO NA RACHEL MAC. BLACK IS BEAUTY THEY SAY......

 huyu ni muigizaji kutoka Nigeria INI EDO
Ini Edo

INI EDO
Click for Full Image Size


 huyu ni muigizaji wa Nigeria GENEVIEVE NNAJI



                                                  GENEVIEVE NNAJI



huyu ni blogger  wa Tanzania anaitwa RACHEL KAYUNI MAC.



KILICHONIVUTIA KWA HAWA WADADA NI KWAMBA, NI WAZURI NA WANATHAMINI RANGI ZA NGOZI ZAO, HAWACHEZI NA MIKOROGO KABISA.

Tuesday, January 28, 2014

BINGWA WA MKOROGO/KUJICHUBUA HUYU HAPA









Ni msanii kutoka Nigeria yani msanii wa maigizo anaitwa THELMA O KHAZ, picha ya juu inamuonyesha Enzi zake za natural colour na hizi za chini ndo alivyobadili rangi yake nzuri aliyopewa na Mungu na kua kama jinni. NANI KASEMA WEUPE WA DUKANI NDO UZURI. UZURI HUU HAPA CHINI KWA MWANADADA LUPITA NYONG'O.



Monday, January 27, 2014

KIGOGO WA WEMA SEPETU KATUA HAPA.




Huyu ndo inasemekana ni demu wa Clement yule aliyekua ATM ya muigizaji Wema Sepetu. kwa mujibu wa magazeti lakini mi sijui kama ni kweli au la.

KAJALA MASANJA KAMA LUPITA NYONG'O


muigizaji pekee wa Bongo movies anayejiamini kwa kua na nywele fupi zisizo na dawa. anaitwa KAJALA MASANJA.

Sunday, January 26, 2014

MKE MWENZAKE NA WEMA SEPETU AELEZEA KILA KITU KUHUSU KUACHANA KWAKE NA DIAMOND. TAZAMA VIDEO HIYO.






wengi mnamjua Wema sepetu, na mnajua kwamba huyu Penny alikua rafiki wa karibu na Wema muigizaji wa bongo movies, sasa Penny akamchukua mchumba wa Wema ambaye ni mwanamziki Diamond, na hivi sasa Diamond kaamua kurudi kwa Wema, sasa haya ni mahojiano ya Penny akielezea kila kitu kuhusu kuachana kwake na Diamond na mipango yake ya maisha.

Friday, January 24, 2014

ANGELINA JOLIE NA BRAD PITT MAPENZI YAO YALIANZIA HAPA.....


Mr and mrs smith poster.jpg
Anjelina Jolie and Brad Pitt Mr Mrs Smith wallpaper




Mr & Mrs Smith Hits Small Screen

HII MOVIE NDIO ILIYOWAFANYA WAWILI HAWA KUA WAPENZI NA MPAKA LEO WANAWATOTO SITA WATATU WAKU ADOPT NA WATATU WAKUWAZAA WENYEWE, MWANAUME ANAITWA BRAD PITT NA MWANAMKE ANAITWA ANGELINA JOLIE. YANI HII COPLE NI THE BEST IN HOLLYWOOD,

MUIGIZAJI LUPITA NYONGO AWA DILI MAREKANI

Lupita Nyongo Enjoys The Knicks vs Philadelphia Game


Spike Lee and Lupita Nyongo courtside
Lupita Nyongo Knicks Game 3


Spike Lee and Lupita Nyongo courtside


Huyu ni muigizaji mwenye asili ya Kenya lakini hivi sasa ndie muigizaji anayefwatiliwa na kila paparazzi huko Marekani, anaitwa Lupita Nyongo, dada huyu amecheza kwenye movie mpya iliyotoka hivi majuzi inayoitwa 12 YEARS A SLAVE, yani toka kacheza movie hiyo Lupita kapata tuzo zaidi ya 20 ndani ya week chache zilizopita, lupita kawa dili kila anakokatisha mapaparazi wanamfwata, hizo picha zinamuonyesha akiwa yuko kwenye basket ball ila ndo kama hivyo tena camera zote kwake, wameacha kuwafwata wakina KRESTIN STERWAT sasa hivi ni yeye tu.

Thursday, January 23, 2014

CHEREKO ZANUKIA KWA MUIGIZAJI LULU MICHAEL


hayawi hayawi sasa yamekua, naskia muigizaji mdogo mwenye mvuto na mwenye mambo ya kikubwa kupita umri wake Lulu au Elizabeth Michael amepata mchumba, haya nimeyasoma sehemu moja hivi ya uhakika, inasemekana kwamba mchumba huyo wa Lulu anaitwa GR ni mmiliki wa kampuni moja ya mambo ya filamu na ni mfanya biashara mkubwa, na inasemekana huyo ndo anayemfanya Lulu kupendeza hivi na pia ndie aliyempangishia Lulu nyumba anayoishi huko Tegeta pia na magari anayoendesha Lulu jamaa ndo muhusika wa hayo magari, mama mkwe wa zamani wa Lulu mama Kanumba naskia nayeye kampokea kwa mikono miwili huyo jamaa na anawa wish weli weli. NI HAYO TU.

VIATU VYA DIAMOND VYAZUA KIZAAZAA

WATU WAMECHACHAMAA ETIIIIIIII, HIVYO VIATU DIAMOND KAVITINGA KILA SEHEMU MWISHO WATAMUWEKA ALAMA, ETI KWENYE SHOOTING YA MY NUMBER ONE AKIWA NA DAVIDO ANAVYO, SIJUI ALIALIKWA KWA MR TOO MUCH YULE MWENYE STATION NYINGI ZA TV BONGO AKAVITINGA, KWENYE SHOO KIBAO ANAVITINGA. NIMESIKIA TU WATU WANAMSEMA NIKASEMA NIWALETEE

HONGERA DIAMOND PLATNUMZ













Diamond ni muigizaji pia ni mwanamziki, nikijana mdogo aliyezaliwa mwaka 89, kwa muda wa miaka michache aliyofanya kazi za sanaa, amepata mafanikio makubwa sana na sasa ni mmoja wa wasanii wakubwa sana Tanzania asiyeshuka bali anapanda kila siku, kijana huyu amekua pia akifanya mambo mengi yakujijenga na kuwasaidia wengine, Diamond kawekeza sana kwenye kujenga nyumba zake binafsi na biashara, Diamond sio kijana mpenda starehe bali amekua akifanya sana kazi yani huwa hata kama ni skukuu kuliko kula bata na wenzake huwa yuko radhi ajiandalie tamasha yeye mwenyewe limuingizie kipato, haya yote nimeongea kwasababu ya kufurahishwa na jambo hili, hizo picha unazoziona hapo juu, Diamond yupo katika shule ya EAST AFRICA INTERNATIONAL iliyopo mikocheni akiwaandikisha watoto ambao sio ndugu zake bali kajitolea kuwasomesha, kwa kweli anastahili kupongezwa, kitendo cha mtu kujitolea kumpa elimu mwanao ni kikubwa sana, wasanii wengine wangekua hivi basi wangefika mbali sana, manake hizi ndo Baraka zenyewe.

Wednesday, January 22, 2014

KUTOKA KWA SINTAH


BABY MADAHA NA MPENZI WAKE








GARI
“Hata hilo gari la Audi TT atakuwa analisikia kwenye bomba. Alizoea kukatiza nalo mitaa hapa Nairobi lakini sasa matatuu (daladala) zinamhusu.

JAMANI HAYA MAMBO YA MASTAR WETU JAMANI, HUKU UNATAKA NA HUKU UNATAKA,




















































































































Tuesday, January 21, 2014

MUIGIZAJI WA ISIDINGO THE NEED AFARIKI DUNIA.






HUYU DADA WENGI WANAMFAHAMU KAMA LETTI MATABANE KWENYE ISIDINGO, LAKINI JINA LAKE HALISI NI LESEGO MOTSEPE NI MAMA MWENYE MIAKA 39, AMEFARIKI JANA AKIWA NYUMBANI KWAKE HUKO AFRICA KUSINI, LETTI ALIKUA ANAISHI NA VIRUSI VYA UKIMWI TOKA MWAKA 1998.

Monday, January 20, 2014

LEONARDO DICAPRIO AMTOLEA MACHO LUPITA NYONGO

Huyu binti ni muigizaji kutoka Kenya lakini anafanya vyema Hollywood, anaitwa Lupita Nyongo na movie ambayo imempandisha sana chati ni ile movie ya 12 YEARS AS SLAVE aliyocheza na CHIWETEL pamoja na BRAD PITT.


Leo wacha achachawe alipomuona Lupita kwenye red carpet, ilibidi amfwate na kumsalimia.



hapo Leo akamimina mabusu maana aliona mkono hautoshi.






KUTOKANA KENYA MPAKA HOLLYWOOD LUPITA NYONGO. BEAUTFULL DARK SKIN QUEEN. HAPA KWETU WAKO BUSY KUJICHUBUA TU NA SKENDO ZA KUHONGWA. KWELI WASCHANA WETU HAWAJIELEWI.

BEYONCE MUIGIZAJI WA MOVIE YA OBSSESD ATEMBELEA IKULU

Beyonce walking up to the White House with Blue Ivy
hapo juu kama unavyoona ni ikulu ya Marekani, Muigizaji/mwanamziki BEYONCE akiingia na mwanae Blue Ivy. Beyoncé alialikwa kwenda kumuimbia mke wa rais wa Marekani Barrack Obama katika siku yake ya kuzaliwa. yani ilikua bday ya mama Obama.


Beyonce posts photos from the White House
hapo juu Beyoncé akishangaa Chrissmass haijaisha mpaka leo kwa Obama,


Beyonce's outfit for Michelle Obama's 50th birthday
Hapo juu Beyoncé kashatokelezea tayari kabisa kwa kumuimbia Michelle Obama


Beyonce and President Obama's dog Sunny
Mbwa wa Obama nae akapata nafasi ya kushikwa na Beyoncé, yani mbwa anaraha huyo katembea karibu kila kona duniani.
Blue Ivy at the White House
motto wa Beyoncé nae hakua nyuma, akaanza kuchora chora chini ikabidi wamletee karatasi fasta ili asichafue karpet la ikulu.

MAMA YAKE WEMA SEPETU ACHACHAMAA BALAA.










                                           MAMA WEMA



                                                  WEMA







                                              DIAMOND



Naskia mama yake na muigizaji WEMA SEPETU kacharuka hataki kabisa kusikia mwanae yuko kwenye mahusiano na mwanamziki DIAMOND PLATNUMZ. yani hawa watu wawili wanapendana, na mashabiki wengi wanapenda kuwaona pamoja, ila sasa kimbembe kwa mama zao, mama wa Wema hamtaki Diamond na mama wa Diamond hamtaki Wema, bila kusahau kwamba hawa ndo vichwa kwenye sekta nzima ya burudani Tanzania.



Sunday, January 19, 2014

MCHUMBA WA WOLPER HUYU HAPA



















TUNAOMBA LIWE NI PENZI LA KWELI SIO MTU KUPENDEWA PESA TU.

JIM IYKE WA NIGERIA
















Huyu ni muigizaji wa Nigeria anaitwa Jim Iyke, hapo yupo kwenye photoshoot. WAPI RAY KIGOSI