Sunday, December 1, 2013

REST IN PEACE PAUL WALKER WA FAST N FURIOUS MOVIES...............

Yule kijana anayejulikana sana kwa uigizaji wake mahili wa kwenye movie za FAST N FURIOUS, Paul Walker ameaga dunia jana huko SANTA CLARITA, Paul Walker mwenye umri wa miaka 40, alifariki kwa ajali ya gari alilopanda yeye na rafiki yake kipenzi ROGER RODAS, inasemekana kwamba rafiki huyo wa Paul nae amefariki dunia hapo hapo, wawili hao walikua kwenye charity event, ndipo walipoamua kuingia kwenye gari la mashindano aina ya PORSCHECARRERA GT na kuanza kulienda just for fun kama wengine wanavyofanyaga lakini bahati mbaya gari hilo liligonga mti na kuungua lote hivyo Paul na mwenzake nao kuungua hapo hapo hakikubaki kitu, aliyewaona mara ya mwisho anasema kwamba rafiki wa Paul ndie aliyekua akiendesha gari hilo huku Paul akiwa amekaa kwenye kiti cha pembeni.
                                                         PAUL WALKER

                                       PAUL WALKER na rafiki yake aliyefariki nae ROGER RODAS
 
 
  hii ni picha ya hilo gari jinsi lilivyo ungua.


shuhuda wa ajali hiyo anasema...

Him and his buddy, his brother in arms at heart just decided to joyride, take a spin. Something we all do. We’re all car enthusiasts. … We’re all here driving, enjoying each other, and God must’ve needed help,” Antonio Holmes, who said he was a friend of Paul, told the Santa Clarita Valley Signal. “We all heard from our location (the accident). It’s a little difficult to know what it was. Someone called it in and said it was a vehicle fire. We all ran around and jumped in cars and grabbed fire extinguishers and immediately went to the vehicle. It was engulfed in flames. There was nothing. They were trapped. Employees, friends of the shop. We tried. We tried. We went through fire extinguishers.”

“When we saw Paul and Roger leave, Paul was the passenger in the vehicle. They both were experienced drivers. This was just a tragic accident that happened on a joyride,” another eyewitness said.
The Los Angeles Country Fire Department spokesman said that the vehicle struck a light standard and the whole car was burned. Paul and the driver of the car were unable to get out of the car in time

                                                        PAUL WALKER


 


                   HIZI NI BAADHI YA TWEETS KUTOKA KWA RAFIKI ZAKE WA KARIBU ALIOIGIZA NAO KWENYE FAST N FURIOUS.

Ludacris        
Ludacris "Your humble spirit was felt from the start, wherever you blessed your presence you always left a mark, we were like brothers & our birthdays are only 1 day apart, now You will forever hold a place in all of our hearts @paulwalker legacy will live on forever. R.I.P."

Tyrese: "My heart is hurting so bad no one can make me believe this is real Father God I pray that you send clarity over this cause I just don't understand My heart hurts it's broken no one can convince me that this is real.... Prayer warriors please pray real hard for his only child, his daughter and family... #HeartOfAnAngel13YrsFamilyForeverWeJustCelebreatedYour40thBirthday..... My God... My God... I can't believe I'm writing this"
Dwayne Johnson        
All my strength, love & faith to the Walker family during this heartbreaking time. We find our strength.. in his light. Love you brother.



PAUL WALKER ameacha motto wa kike mwenye umri wa miaka 15 anayeitwa MEADOW.

                                                PAUL WALKER na binti yake MEADOW
 
 
          Paul na binti yake


Paul na binti yake
 
HAKIKA WAPENZI WA MOVIE ZA FAST N FURIOUS TUTAMKUMBUKA PAUL WALKER, NA WENGI TULIKUA TUKIISUBIRI FAST N FURIOUS 7 ILIYOKUA IKIENDELEA KUSHOOTIWA NA NI JUZI TU PAUL ALIKUA ATLANTA AKISHOOT BAADHI YA SCENE ZA MOVIE HIYO INAYOTARAJIWA KUTOKA MWAKANI, ILA KWA SASA HATMA YA MOVIE HIYO HAIJULIKANI KAMA ITATOKA AMA VIPI IKIZINGATIWA PAUL NA VAN DIESEL NDO KAMA VINARA KWENYE HIYO MOVIE.
 
MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI

No comments: