SHILOLE
Msanii wa maigizo nchini Zuwena au Shilole ameamua kufwata nyayo za msanii Naseeb au Diamond kwa kuamua kuweza katika kujenga, shilole ambaye ndo mmiliki halali wa hiyo nyumba inayijengwa hapo kwenye hiyo picha, amesema mpaka hapo nyumba ilipofikia imemgharimu kama million 50 hivi, tunampa hongera shilole kwani tunajua bongo movie wengi wanaadhirika na swala la nyumba huku wakiishia kununua MAGARI na MAWIGI.
No comments:
Post a Comment