Sunday, December 8, 2013

MOVIE YA MANDELA ( LONG WALK TO FREEDOM)



Hii video inamuonyesha motto wa hayati NELSON MANDELA, Zindzi Mandela akiongea katika premiere ya movie inayohusu maisha ya baba yao, movie hii ambayo imetoka week moja kabla ya kifo cha MANDELA imechezwa na muigizaji nguli wa Uingereza IDRIS ELBA ambaye amecheza kama MANDELA. wakati movie hii inaonyeshwa, ndio taarifa za kifo cha MANDELA zilipotoka, ambapo watoto hao wawili wa mandela ilibidi wakatishe kuangalia movie hiyo ili kuanza safari ya kuenda kwenye msiba, movie hiyo ilizinduliwa huko LONDON ambapo pia ilihudhuriwa na PRINCE WILLIAM na MKEWE.
               
              watoto wa MANDELA wa kike ZINDZI na  ZENANI
 
 
 PRINCE WILLIAM NA MKEWE kwenye premiere ya movie ya MANDELA huko London.


        huyo mwanaume ni muigizaji aliyecheza kama Mandela anaitwa IDRIS ELBA, na huyo mwanamke ndie aliyecheza kama mke wa zamani wa Mandela, Winnie Mandela

 
MOVIE HII YA MANDELA IMETOKA KATIKA KIPINDI AMBACHO MANDELA MWENYEWE AMEFARIKI, INASEMEKANA KWAMBA ILITAKIWA NA YEYE AIONE LAKINI NDO HIVYO MIPANGO YA MUNGU SI YA WANADAMU MANDELA HATUNAYE TENA. NI HESHIMA KUBWA MANDELA ALIYOIACHA DUNIANI, KATIKA KIPINDI CHOTE CHA MAISHA YAKE HAKUISHI KWA AJILI YAKE BALI ALIISHI KWA AJILI YA KUWAPIGANIA WATU WENGINE. KWELI HAKUNA WATU KAMA NELSON MANDELA MIAKA HII YA SASA.
 
REST IN PEACE NELSON MANDELA.

No comments: