Friday, December 6, 2013

KAJALA MASANJA






Mahakama ya rufaa kanda ya Dar imeridhia hukumu ilitotolewa na mahakama ya hakimu mkazi  kisutu ya faini sh mil 13 na kumuachia huru Kajala Masanja..

kajala sasa amepeta na rufaa hio iliyofunguliwa na mumewe Faraja Agustino ambaye anatumikia kifungo cha miaka 5 katika hukumu ya kesi ya kutakatisha fedha haramu....

SHUKRANI KWA SINTAH.COM












No comments: