Huyu motto mzuri aliyebebwa na muigizaji Lulu, ni motto wa dada yake marehemu muigizaji Steven Kanumba ambaye amezaliwa hivi karibuni na kupewa jina la Steven Kanumba JR.
picha hii inamuonyesha Lulu ambaye alikua ni girlfriend wa marehemu Kanumba na mwenye nguo nyeupe ni mama wa marehemu Kanumba na pembeni ni mama mzazi wa Lulu.
No comments:
Post a Comment