Tuesday, December 17, 2013

KIM KARDASHIAN MOVIE... TEMPTATION



Kwa wale mliokua hamjui Kim Kardashian pia ni movie star, japo wengi huko Marekani wanasema she is famous for doin nothing, yani hana talent yoyote, anyway, huyu bibie ameshacheza movie chache na moja wapo ni hii yenye jina kama la movie ya Wema na Diamond TEMPTATION, video hiyo hapo juu . Kim hivi sasa ni mchumba wa mwanamziki Kanye West na wanamtoto mmoja anayeitwa North West.

                                          hii ni picha ya Kim na Kanye siku ya engagement 

                                                                    Kim na Kanye


                                             North West,

No comments: